Swali: Nini maana ya msemo:
”Hadiyth ngeni (حديث غريب)”?
Jibu: Hii maana yake kwa wanazuoni wakati mwingine huwa ni Hadiyth iliyokuja kwa njia moja tu. Wakati mwingine maana ya ngeni ni kwamba imekuja kwa njia ya fulani mwana wa fulani tu, ni ngeni kwa upande wake, lakini imepokewa na wengine pia. Kwa msemo mwingine si ngeni kwa ujumla. Huitwa ngeni kwa njia ya fulani, bi maana ni ugeni wa kuhusiana kwa wanazuoni wa Hadiyth.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1033/معنى-الحديث-الغريب
- Imechapishwa: 08/01/2026
Swali: Nini maana ya msemo:
”Hadiyth ngeni (حديث غريب)”?
Jibu: Hii maana yake kwa wanazuoni wakati mwingine huwa ni Hadiyth iliyokuja kwa njia moja tu. Wakati mwingine maana ya ngeni ni kwamba imekuja kwa njia ya fulani mwana wa fulani tu, ni ngeni kwa upande wake, lakini imepokewa na wengine pia. Kwa msemo mwingine si ngeni kwa ujumla. Huitwa ngeni kwa njia ya fulani, bi maana ni ugeni wa kuhusiana kwa wanazuoni wa Hadiyth.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1033/معنى-الحديث-الغريب
Imechapishwa: 08/01/2026
https://firqatunnajia.com/maana-ya-hadiyth-ngeni/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket