Swali: Ni ipi maana ya maneno yetu pale tunaposema katika du´aa yetu ya kufungulia swalah:
وتعالى جدك
“Utukufu Wako uko juu.”?
Jibu: Maana yake ni kwamba ukuu na utukufu Wako uko juuu. Amesema (Subhaanah) katika Suurah “al-Jinn” juu ya majini ya kwamba walisema:
وَأَنَّهُ تَعَالَىٰ جَدُّ رَبِّنَا مَا اتَّخَذَ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا
“Na kwamba hakika umetukuka kabisa utukufu wa Mola wetu, hakujifanyia mke wala mwana.”[1]
[1] 72:03
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/74)
- Imechapishwa: 11/01/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
16. Du´aa ya kufungulia swalah na maana yake
Shaykh-ul-Islaam na Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema: Baada ya hilo kunakuja du´aa ya kufungulia, ambayo ni Sunnah, kwa kusema: سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ وتَبَارَكَ اسْمُكَ وَتَعَالى جَدُّكَ وَلا إِله غَيْرُكَ “Subhaanak Allaahumma, wa bi Hamdik, wa tabaaraka-smuk, wa ta´alaa Jadduk, wa laa ilaaha Ghayruk.” “Kutakasika ni Kwako, ee Allaah,…
In "ash-Sharh al-Mumtaaz - Ibn Baaz"
34. Maelezo kuhusu du´a ya kufungulia swalah
Maana ya: سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ “Kutakasika ni Kwako, ee Allaah... ” ni kwamba ninakutakasa kutokamana na kasoro zote kwa namna inayolingana na Utukufu Wako. Kwa msemo mwingine ni kwamba nakutakasa, ee Allaah, utakasifu unaolingana na utukufu Wako. Maana ya: وَبِحَمْدِكَ “... na himdi zote ni Zako." ni kuwa Unahimidiwa. Kwa msemo…
In "Sharh Shuruwt-is-Swalaah - ar-Raajihiy"
33. Nguzo ya pili ya swalah: Takbiyr ya kufungulia swalah
Shaykh-ul-Islaam na Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema: Nguzo ya pili ni kuleta Takbiyr ya kufungulia swalah. Dalili ni Hadiyth inayosema: “Uharamu [ufunguzi] wake ni Takbiyr na uhalali [ufungwaji] wake ni Tasliym.”[1] Baada ya hilo kunakuja du´aa ya kufungulia, ambayo ni Sunnah, kwa kusema: سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ وتَبَارَكَ اسْمُكَ…
In "Sharh Shuruwt-is-Swalaah - ar-Raajihiy"