Maamuma wanamchukia imamu anayerefusha swalah

Swali 283: Vipi kuhusu mwenye kurefusha swalah kitendo ambacho maamuma wakamchukia kwa sababu hiyo?

Jibu: Ikiwa anavuka kile kiwango kilichowekwa katika Shari´ah, ndio. Lakini wakiwa wavivu, hapana. Kwa sababu wanadhani kuwa anarefusha ilihali mambo siyo hivo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 102
  • Imechapishwa: 17/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´