Swali: Baadhi ya maamuma wakitoa Salaam moja upande wa kulia kabla ya Imamu kwa kusahau. Je, Swalah zao zinabatilika?
Jibu: Swalah yake haibatiliki. Lakini itabidi watoe Salaam baada yake mara mbili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Nuur ´alaad-Darb
- Imechapishwa: 22/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket