Swali: Nimfuate imamu ilihali anasoma Haram au nimsikilize tu?
Jibu: Msikilize na usimfuate kwa msahafu na ukabeba msahafu kama wanavyofanya baadhi watu. Kuangalia herufi kunawashughulisha na kuswali. Jengine ni kwamba hawafungi mikono wakati wa kusimama kwa kuwa amebeba msahafu na hivyo hawezi kufunga mikono yake miwili. Huku anaenda kinyume na Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14759
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Nimfuate imamu ilihali anasoma Haram au nimsikilize tu?
Jibu: Msikilize na usimfuate kwa msahafu na ukabeba msahafu kama wanavyofanya baadhi watu. Kuangalia herufi kunawashughulisha na kuswali. Jengine ni kwamba hawafungi mikono wakati wa kusimama kwa kuwa amebeba msahafu na hivyo hawezi kufunga mikono yake miwili. Huku anaenda kinyume na Sunnah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14759
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/maamuma-kubeba-msahafu-nyuma-ya-imamu-pasi-na-haja/