Swali 257: Je, maamuma naye aseme:
سمع الله لمن حمده
”Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”?
Vipi kuhusu wanaojengea hoja kwa maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
سمع الله لمن حمده
”Swalini kama mlivyoniona ninaswali.”?
Jibu: Hili limekuja kwa kuenea na linafasiriwa na maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Na imamu akisema:
سمع الله لمن حمده
”Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”
semeni:
ربنا ولله الحمد
”Mola wetu na himdi zote ni Zako.”
Hakusema maamuma waseme kama anavosema.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 97
- Imechapishwa: 09/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 257: Je, maamuma naye aseme:
سمع الله لمن حمده
”Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”?
Vipi kuhusu wanaojengea hoja kwa maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
سمع الله لمن حمده
”Swalini kama mlivyoniona ninaswali.”?
Jibu: Hili limekuja kwa kuenea na linafasiriwa na maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
”Na imamu akisema:
سمع الله لمن حمده
”Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”
semeni:
ربنا ولله الحمد
”Mola wetu na himdi zote ni Zako.”
Hakusema maamuma waseme kama anavosema.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 97
Imechapishwa: 09/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/maamuma-amhimidi-allaah-na-asiseme-kama-imamu/