280 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu anayeswali na akasahau kusoma al-Fatihah ilihali ni maamuma?
Jibu: Inadondoka na swalah yake ni sahihi. Kuhusu imamu na anayeswali peke yake haidondoki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 101
- Imechapishwa: 16/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
280 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mtu anayeswali na akasahau kusoma al-Fatihah ilihali ni maamuma?
Jibu: Inadondoka na swalah yake ni sahihi. Kuhusu imamu na anayeswali peke yake haidondoki.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 101
Imechapishwa: 16/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/maamuma-amesahau-kusoma-al-faatihah/