Maalikiyyah kumgusa mwanamke baada ya kutawadha

Swali: Imepokelewa kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiwabusu wakeze kisha anaenda kuswali na wala hatawadhi. Ni yepi maoni yenye nguvu kuhusu kumgusa mwanamke kama kunachengua wudhuu´ au hapana?

Jibu: Kugusa kwa kutamani kunachengua wudhuu´. Maalikiyyah wanaona kuwa kumgusa kunachengua wudhuu´ ijapo mtu hakugusa kwa kutamani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 25/09/2020