Swali: Kuna mtu katika mji wetu anatangamana na Hizbiyyuun na anapokea mshahara kutoka kwao na anasema juu ya minbari: “Mimi naweza kusoma vitabu vya wanachuoni ili nipate fatwa badala ya kila wakati kuwasiliana nao.” Lakini hata hivyo mtu huyu hakusoma kwa wanachuoni. Unatunasihi vipi?

Jibu: Pengine mtu huyu na yeye anajifanya ni mwanachuoni na anachotaka ni kutaka kujulikana.

Maadamu marafiki zake ni Hizbiyyuun na yeye ni katika wao.

  • Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://ar.miraath.net/fatwah/11343
  • Imechapishwa: 04/07/2018