Lini wanasimama wenye kuswali?

Swali: Ni lini tunatakiwa kusimama kwa ajili ya swalah? Je, ni pale muadhini anapoanza kukimu au wakati anaposema:

قد قامت الصلاة

“Swalah imesimama”?

Jibu: Yote mawili. Muhimu ni wewe usimame kwa ajili ya swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020