Lini muislamu atazingatiwa amejifananisha na makafiri katika mavazi yao?

Swali: Waislamu wanayo mavazi mengi…..ni lini muislamu anazingatiwa amejifananisha na makafiri?

Jibu: Ni yale mavazi yao maalum ambayo hayavaliwi na waislamu. Yale mavazi ambayo wanashirikiana na waislamu hayazingatiwi kuwa ni kujifananisha. Hilo linahusuu yale mavazi yao maalum kwa mfano wanayovaa katika sikukuu zao na mfano wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24798/متى-يكون-المسلم-متشبها-بالكفار-في-لباسه
  • Imechapishwa: 14/12/2024