Swali: Je, Sunnah ya Fajr inakuwa baada ya adhaana ya kwanza?

Jibu: Baada ya adhaana ya pili. Baada ya ile adhaana inayotangaza kuingia alfajiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24788/متى-تودى-سنة-الفجر
  • Imechapishwa: 15/12/2024