Limefanywa na baadhi ya Maswahabah

Swali: Ni ipi hukumu ya kunyanyua mikono wakati wa kuleta Takbiyr katika swalah ya jeneza?

Jibu: Hakuna neno. Imepokelewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah kwamba walinyanyua mikono katika zile Takbiyr nne.

Check Also

Tofauti iliyopo juu ya kusoma Qur-aan makaburini

Masuala ya saba: Kusoma Qur-aan kwenye makaburi. Tunasema – na Allaah ndiye anajua zaidi – …