Kumbusu kichwa baba kafiri

Swali: Je, inajuzu anapokutana na baba yake ambaye ni kafiri kumbusu kichwa chake?

Jibu: Ndio, ni katika kumtendea wema. Ni katika kumfanyia wema kimatendo kwa baba yake kafiri.

Check Also

Baba anampiga msichana anamtishia maisha

Swali: Baba yangu anazungumza na mimi kwa ukali, ananipiga na ananitishia kuniua ambapo mume wangu …