Wasisome kitabu “al-Muhallaa” cha Ibn Hazm

Swali: Unasamaje juu ya kitabu “al-Muhallaa” cha Ibn Hazm?

Jibu: Ni kitabu chenye faida kwa wanachuoni. Ama kuhusu wanafunzi wasijishughulishe nacho ili wasije kutumbukia katika yale yanayokwenda kinyume kutokamana na jopo la wanachuoni wengi.

Check Also

Darsa na al-Fawzaan au kazi?

Swali: Mimi ni mara yangu ya kwanza ninakaa katika darsa hizi zilizobarikiwa. Kwa kweli nataka …