Swali: Kuna mtu ambaye anapitikiwa na usingizi kutokana na Fajr licha ya kwamba anafanya kila akiwezacho kuweza kuamka ndani ya wakati. Je, anapata dhambi? Ni kipi unachomnasihi?
Jibu: Ni wajibu kwake kufanya kila akiwecho aweze kuswali Fajr kwa mkusanyiko. Miongoni mwa sababu hizo ni yeye kulala mapema. Baadhi ya watu hulala wamechelewa na wanaenda kulala punde kidogo kabla ya Fajr kisha wanashindwa kuamka hata kama wataweka alamu na watu wa kuwaamsha. Kwa ajili hiyo namshauri mtu huyu na mfano wake walale mapema ili waweze kuamka wakiwa wachangamfu na waswali pamoja na mkusanyiko. Je, anapata dhambi? Ndio, anapata dhambi ikiwa yeye ndiye mwenye kusababisha, ima kwa sababu ya kuchelewa kwake kulala au hakufanya sababu za kumuwezesha kuamka.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/122-123)
- Imechapishwa: 03/06/2026
Swali: Kuna mtu ambaye anapitikiwa na usingizi kutokana na Fajr licha ya kwamba anafanya kila akiwezacho kuweza kuamka ndani ya wakati. Je, anapata dhambi? Ni kipi unachomnasihi?
Jibu: Ni wajibu kwake kufanya kila akiwecho aweze kuswali Fajr kwa mkusanyiko. Miongoni mwa sababu hizo ni yeye kulala mapema. Baadhi ya watu hulala wamechelewa na wanaenda kulala punde kidogo kabla ya Fajr kisha wanashindwa kuamka hata kama wataweka alamu na watu wa kuwaamsha. Kwa ajili hiyo namshauri mtu huyu na mfano wake walale mapema ili waweze kuamka wakiwa wachangamfu na waswali pamoja na mkusanyiko. Je, anapata dhambi? Ndio, anapata dhambi ikiwa yeye ndiye mwenye kusababisha, ima kwa sababu ya kuchelewa kwake kulala au hakufanya sababu za kumuwezesha kuamka.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/122-123)
Imechapishwa: 03/06/2026
https://firqatunnajia.com/licha-ya-kufanya-kila-aliwezalo-anashindwa-kuamka-fajr/