Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kuvaa lenzi za macho na kubadilisha rangi yake hapa na hapa kwa madhumuni ya urembo?

Jibu: Hapana, kama ni kwa lengo la urembo. Asivae lenzi za macho kwa madhumuni ya urembo. Hata hivyo ni sawa akizivaa kwa lengo la matibabu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
  • Imechapishwa: 19/07/2024