Swali: Ni ipi njia sahihi ya kutahadharisha juu ya walinganizi waovu?
Jibu: Ikiwa una elimu na uwezo wa kuraddi utata wao, unatakiwa kubainisha hili bila ya kusababisha fitina na athari mbaya. Fanya hivo kwa hekima, maneno mazuri na kujadiliana nao kwa nia nzuri. Na ikiwa huna uwezo huo, wafikishie wanachuoni na watawala wanaoweza kusimamia jambo hilo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu’
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Ni ipi njia sahihi ya kutahadharisha juu ya walinganizi waovu?
Jibu: Ikiwa una elimu na uwezo wa kuraddi utata wao, unatakiwa kubainisha hili bila ya kusababisha fitina na athari mbaya. Fanya hivo kwa hekima, maneno mazuri na kujadiliana nao kwa nia nzuri. Na ikiwa huna uwezo huo, wafikishie wanachuoni na watawala wanaoweza kusimamia jambo hilo.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu’
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/la-kufanya-usipoweza-kuwaraddi-wahalifu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)