Swali 35: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema kuwa kwenda Makkah wakati wa Ramadhaan kwa ajili ya kufunga na kuswali swalah ya usiku ni Bid´ah?

Jibu: Maneno haya ni ujinga mtupu. Bali kwenda Makkah ni ´ibaadah na utii muda wa kuwa tu hakuathiri kitu bora zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 37
  • Imechapishwa: 26/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´