Kwenda kutembelea maeneo ya watu wa kale walioadhibiwa

Swali 684: Ipi hukumu ya kusafiri kwenda kule kunakoitwa ”Madaa-in Swaaalih” (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ardhi za Thaamud?

Jibu: Ikiwa ni kwa ajili ya mazingatio, hapana vibaya. Hata hivyo ikiwa ni kwa ajili ya burudani na kicheko, hapana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 244
  • Imechapishwa: 28/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´