Swali: Sisi waislamu tunaulizana ni kwa nini waislamu hawakusanyiki juu ya madhehebu moja na zikamalizika tofauti zote katika baadhi ya mambo ya dini ya Kiislamu?
Jibu: Hili ni miongoni mwa mambo yasiyowezekana kabisa. Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) hawakuweza kukusanyika juu ya jambo moja kwa kauli moja, basi waliokuja baada yao ni kwa daraja ya kwanza zaidi kushindwa kukusanyika. Maswahabah ni watu bora kuliko wote. Pamoja na ubora wao hawakukubaliana katika kila jambo. Ni lazima kuwepo tofauti, kwa sababu elimu hutofautiana; huyu anajua zaidi kuliko yule na mwingine anajua zaidi kuliko mwenzake – na juu ya kila mwenye elimu yupo mwenye elimu zaidi. Kwa hiyo kukusanyika kwa watu wote juu ya jambo moja ni miongoni mwa mambo yasiyowezekana kabisa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1625/استحالة-اجتماع-الناس-على-مذهب-واحد
- Imechapishwa: 01/03/2026
Swali: Sisi waislamu tunaulizana ni kwa nini waislamu hawakusanyiki juu ya madhehebu moja na zikamalizika tofauti zote katika baadhi ya mambo ya dini ya Kiislamu?
Jibu: Hili ni miongoni mwa mambo yasiyowezekana kabisa. Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) hawakuweza kukusanyika juu ya jambo moja kwa kauli moja, basi waliokuja baada yao ni kwa daraja ya kwanza zaidi kushindwa kukusanyika. Maswahabah ni watu bora kuliko wote. Pamoja na ubora wao hawakukubaliana katika kila jambo. Ni lazima kuwepo tofauti, kwa sababu elimu hutofautiana; huyu anajua zaidi kuliko yule na mwingine anajua zaidi kuliko mwenzake – na juu ya kila mwenye elimu yupo mwenye elimu zaidi. Kwa hiyo kukusanyika kwa watu wote juu ya jambo moja ni miongoni mwa mambo yasiyowezekana kabisa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1625/استحالة-اجتماع-الناس-على-مذهب-واحد
Imechapishwa: 01/03/2026
https://firqatunnajia.com/kwanini-waislamu-wote-wasikusanyike-juu-ya-dhehebu-moja/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket