Kwanini si wajibu kuomba kinga dhidi ya mambo 4 kwenye Tashahhud?

Swali 240: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu ni kipi kinaitoa Hadiyth inayosema:

“… na atake kinga kwa Allaah dhidi ya mambo manne…”

kutoka katika uwajibu na kwenda katika mapendekezo?

Jibu: Hadiyth nyingine inayosema:

“Kisha achague katika du´aa anayotaka.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 94
  • Imechapishwa: 08/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´