Swali: Ni ipi hukumu ya msemo:
”Kwa haki ya jaha ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) utabaki kwangu.”?
Jibu: Ni miongoni mwa njia za shirki. Jaha, haki ya jaha ya Mtume na kuapa kwa Mtume ni miongoni mwa njia za shirki. Kwa hivyo ni wajibu kujihadhari kusema hivo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24502/حكم-قول-بحق-جاه-النبي
- Imechapishwa: 19/10/2024
Swali: Ni ipi hukumu ya msemo:
”Kwa haki ya jaha ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) utabaki kwangu.”?
Jibu: Ni miongoni mwa njia za shirki. Jaha, haki ya jaha ya Mtume na kuapa kwa Mtume ni miongoni mwa njia za shirki. Kwa hivyo ni wajibu kujihadhari kusema hivo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24502/حكم-قول-بحق-جاه-النبي
Imechapishwa: 19/10/2024
https://firqatunnajia.com/kwa-haki-ya-mtume/