Swali: Kuweka sharti wakati wa hajj kumefungamana na khofu?

Jibu: Ndio, kama anaogopa au maradhi au vita.

Swali: Je, sharti itamfaa ikiwa ataweka sharti pasi na khofu?

Jibu: Udhahiri ni kuenea. Ni kama mwanamke anayeogopa kupata hedhi na mfano wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23825/هل-الاشتراط-في-الحج-مقيد-بالخوف
  • Imechapishwa: 16/05/2024