Swali: Vipi kwa anayeweka nadhiri wakati wa kutamka nadhiri kwa kusema ”Allaah akitaka”?
Jibu: Asiweke nadhiri hata mara moja. Inachukiza kuweka nadhiri. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Msiweke nadhiri!”
Akisema ”Allaah akitaka” nadhiri haitimii, au akasema ”Naapa kwa Allaah Allaah akitaka” hakupiti kitu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yule mwenye kuapa akasema katika kiapo chake ´Allaah akitaka` basi hapana neno asipoitekeleza.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24538/حكم-قول-ان-شاء-الله-عند-النذر
- Imechapishwa: 25/10/2024
Swali: Vipi kwa anayeweka nadhiri wakati wa kutamka nadhiri kwa kusema ”Allaah akitaka”?
Jibu: Asiweke nadhiri hata mara moja. Inachukiza kuweka nadhiri. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Msiweke nadhiri!”
Akisema ”Allaah akitaka” nadhiri haitimii, au akasema ”Naapa kwa Allaah Allaah akitaka” hakupiti kitu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yule mwenye kuapa akasema katika kiapo chake ´Allaah akitaka` basi hapana neno asipoitekeleza.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24538/حكم-قول-ان-شاء-الله-عند-النذر
Imechapishwa: 25/10/2024
https://firqatunnajia.com/kuweka-nadhiri-kwa-kusema-allaah-akitaka/