Kuunganisha meno kwa dhahabu kumesimuliwa kutoka kwa Maswahabah, lakini kutengeneza jino zima kwa dhahabu, hapana, kwa sababu hakuna dharurah ya kufanya hivo. Mimi miaka mingi ninayo meno bandia. Kwa hivyo hakuna dharurah.

Shaykh akaashiria meno yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 216
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´