Swali: Vipi uuzaji wa kitambaa cha hariri safi kwa wanaume waislamu?

Jibu: Akinunua kwa ajili ya mke wake au wasichana zake, haina shida. Lakini yeye asikivae.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27842/حكم-بيع-قماش-الحرير-الخالص-للرجل-المسلم
  • Imechapishwa: 17/04/2025