Swali: Je, ni katika mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah kuwazungumzia vibaya watawala na kuonesha makosa yao mbele za watu aina yote?

Jibu: Hapana, jambo hilo sio katika mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Kuwachochea watu dhidi ya watawala, kuwafanya wakamchukia na kumgeuzia mgongo, sio katika mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
  • Imechapishwa: 05/09/2020