Kuwatembelea wagonjwa Sunnah iliyokokotezwa

713 – Shaykh wetu alisema: Kinachojulikana kuhusu kuwazuru wagonjwa ni kuwa ni Sunnah iliyokokotezwa. Nikamuuliza Shaykh wetu ni kipi kinachogeuza amri ya:

”Mtembeeni mgonjwa.”

kutoka katika uwajibu?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 250
  • Imechapishwa: 05/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´