Kuwapenda Maswahabah ni sehemu katika dini na imani kutokana na mambo mawili:
1- wa kutekeleza kwao maamrisho ya Allaah.
2- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kasisitiza hilo. Ni katika kumpenda Allaah. Vilevile ni katika kumpenda Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (02/753)
- Imechapishwa: 18/05/2020
Kuwapenda Maswahabah ni sehemu katika dini na imani kutokana na mambo mawili:
1- wa kutekeleza kwao maamrisho ya Allaah.
2- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kasisitiza hilo. Ni katika kumpenda Allaah. Vilevile ni katika kumpenda Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (02/753)
Imechapishwa: 18/05/2020
https://firqatunnajia.com/kuwapenda-maswahabah-ni-sehemu-katika-dini/