Swali: Inajuzu kuwapa zakaah wasyria?
Jibu: Zakaah wanapewa mafukara na masikini sawa iwe wasyria na wengineo. Ukihakikisha kuwa inawafikia mikononi mwao basi wana haki ya kupewa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_27-07-1433.mp3
- Imechapishwa: 22/05/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Nani anaweza kuwapa zakaah makafiri?
Swali: Je, mtu yeyote anaweza kuwapa zakaah makafiri ambao kunatarajiwa kwao kuingia katika Uislamu? Jibu: Hili ni jambo maalum kwa mtawala. Kuwavutia watu na kuwapa watu wanaotarajiwa kuingia katika Uislamu ni jambo linafanywa na mtawala peke yake. Sio jambo linalofanywa na kila mtu.
In "Watu wanaostahiki kupewa zakaah"
37. Zakaah wanapaswa kupewa watawala
Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah) amesema: “Inafaa na ni sahihi kuwapa zakaah sawa wakiwa wema au waovu.” MAELEZO Miongoni mwa haki za watawala ni kuwapa zakaah. Zakaah wanatakiwa kupewa wao au manaibu wao na si wengineo. Yule mwenye kutoa zakaah kumpa mwengine asiyekuwa wao basi ni lazima kwake kuilipa…
In "Itmaam-ul-Minnah"
Zakaah kuwapa jamaa ndugu
577- Nilimsikia Ahmad akiulizwa kuhusu mtu ambaye anatoa zakaah yake kuwapa jamaa ndugu zake. Akajibu: “Ikiwa watu wengine ndio wenye kuhitajia zaidi na anachotaka yeye ni kuwatajirisha jamaa ndugu zake na kuwaacha wengine, basi asifanye hivo.” Aliulizwa vipi ikiwa jamaa ndugu hao ni mafukara kama wengine. Akajibu: “Kama mambo ni…
In "Watu wanaostahiki kupewa zakaah"