Swali 124: Ni ipi hukumu ya kuwatia maji usoni wanawake wenye kuvaa vibaya walioko masokoni?
Jibu: Ni jambo lisilotakikani. Pengine vilevile ikawa ni jambo linalowakimbiza mbali na Uislamu. Lakini linalopasa ni kwamba unatakiwa umnasihi. Hakuna neno ikiwa utamkazia wakati wa kumpa nasaha kwa kutegemea na mahali na hali. Kwani Allaah haikalifishi nafsi isipokuwa vile inavyoweza.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ijaabatu as-Saa-il, uk. 228
- Imechapishwa: 18/09/2019
Swali 124: Ni ipi hukumu ya kuwatia maji usoni wanawake wenye kuvaa vibaya walioko masokoni?
Jibu: Ni jambo lisilotakikani. Pengine vilevile ikawa ni jambo linalowakimbiza mbali na Uislamu. Lakini linalopasa ni kwamba unatakiwa umnasihi. Hakuna neno ikiwa utamkazia wakati wa kumpa nasaha kwa kutegemea na mahali na hali. Kwani Allaah haikalifishi nafsi isipokuwa vile inavyoweza.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ijaabatu as-Saa-il, uk. 228
Imechapishwa: 18/09/2019
https://firqatunnajia.com/kuwamwagia-maji-wanawake-wanaovaa-vibaya/