Kuwalisha masikini tano kwa siku tofauti  

Swali: Kafara ya yamini ni kulisha masikini kumi. Lau leo nitalisha masikini kumi na kesho nikawalisha tena hao hao watano. Je, hili linatosheleza?

Jibu: Hapana, hili halitoshelezi. Walishe masikini tano wengine wasiokuwa wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (55) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-11-10.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020