Kuwaita wajomba na mashangazi kwa kunyah zao

Swali: Ni ipi hukumu ya kumwita mjomba, shangazi na khalati kwa Kunyah yao?

Jibu: Ni sawa ikiwa Kunyah zao hazina kitu kinacholaumika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015