Swali: Kuna miongoni mwa waumini wenye kumcha Allaah ambao wana wafanyakazi majini?
Jibu: Sijui kitu katika hayo na wala mlango huu usifunguliwe. Makhurafi wameingia kupitia mlango huu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Kuna miongoni mwa waumini wenye kumcha Allaah ambao wana wafanyakazi majini?
Jibu: Sijui kitu katika hayo na wala mlango huu usifunguliwe. Makhurafi wameingia kupitia mlango huu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuwa-na-wafanyakazi-majini/