Swali: Inajuzu kwa mtu kuvaa nguo ilio na msalaba?
Jibu: Hapana. Haijuzu kuvaa nguo ilio na msalaba wala nguo ilio na picha. Nguo zilizo na picha hazijuzu wala ilio na msalaba. Ya msalaba ni mbaya zaidi. Anataka kuvaa nembo za makafiri katika mavazi yao? Haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Inajuzu kwa mtu kuvaa nguo ilio na msalaba?
Jibu: Hapana. Haijuzu kuvaa nguo ilio na msalaba wala nguo ilio na picha. Nguo zilizo na picha hazijuzu wala ilio na msalaba. Ya msalaba ni mbaya zaidi. Anataka kuvaa nembo za makafiri katika mavazi yao? Haijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/kuvaa-nguo-zilizo-na-msalaba/