Swali: Kuna mtu amekosa ruhusa ya hajj na kwa ajili hiyo akavaa mavazi ya kawaida baada ya Ihraam ili kuwakwepa polisi. Je, ni lazima kwake kutoa fidia? Ni ipi hukumu ya kukusudia kutumbukia kwenye dhambi kama hii?
Jibu: Kitendo hichi kina dhambi mbili:
1 – Kumuasi mtawala ambaye hakuruhusu kuhiji bila ya rurhusa kwa ajili ya amani na kuwapa nafasi ya kutosha mahujaji.
2 – Amevaa nguo za kushonwa wakati wa Ihraam bila ya kuwepo sababu ya Kishari´ah. Haijuzu kwake kufanya hivi. Ni juu yake kutoa fidia. Ana khiyari ima ya kulisha masikini sita, kuchinja kondoo au kufunga siku tatu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Swali: Kuna mtu amekosa ruhusa ya hajj na kwa ajili hiyo akavaa mavazi ya kawaida baada ya Ihraam ili kuwakwepa polisi. Je, ni lazima kwake kutoa fidia? Ni ipi hukumu ya kukusudia kutumbukia kwenye dhambi kama hii?
Jibu: Kitendo hichi kina dhambi mbili:
1 – Kumuasi mtawala ambaye hakuruhusu kuhiji bila ya rurhusa kwa ajili ya amani na kuwapa nafasi ya kutosha mahujaji.
2 – Amevaa nguo za kushonwa wakati wa Ihraam bila ya kuwepo sababu ya Kishari´ah. Haijuzu kwake kufanya hivi. Ni juu yake kutoa fidia. Ana khiyari ima ya kulisha masikini sita, kuchinja kondoo au kufunga siku tatu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 13/02/2017
https://firqatunnajia.com/kuvaa-nguo-katika-ihraam-kwa-ajili-ya-kuwakwepa-polisi/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket