Swali 627: Je, kuvaa hariri ya bandia ni kama hariri ya asili katika uharamu?
Jibu: Hapana, si sawa na ile inayotengenezwa na funza. Lakini ni vyema mtu akiacha kufanya hivo kwa sababu ya ulaini wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 222
- Imechapishwa: 14/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 627: Je, kuvaa hariri ya bandia ni kama hariri ya asili katika uharamu?
Jibu: Hapana, si sawa na ile inayotengenezwa na funza. Lakini ni vyema mtu akiacha kufanya hivo kwa sababu ya ulaini wake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 222
Imechapishwa: 14/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kuvaa-hariri-ya-bandia-ni-kama-hariri-ya-asili/