Kuuza vinyago na picha za Mashaykh kwa lengo la mapambo

Swali: Katika baadhi ya nchi masanamu ya Mashaykh yanauzwa kwa watalii pasi na kukusudia yaabudiwe, bali kwa ajili ya mapambo?

Jibu: Ni haramu.

Swali: Je, hakufuru kwa kitendo hicho?

Jibu: Hapana, hakufuru. Mfano wa huyu anayeuza picha, hivi sasa kunauzwa picha za wanawake na picha za wanaume.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25348/حكم-بيع-الاصنام-للسواح-بقصد-الزينة
  • Imechapishwa: 28/02/2025