Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza vyombo vya kupigia picha na filamu zake?
Jibu: Kuuza vyombo vya kupigia picha hapana vibaya, kwa sababu vinaweza kutumika katika dharurah na kupiga picha vitu ambavyo havina roho, kama miti na mfano wake. Vilevile picha zinazohitajika na watu kwa ajili ya vitambulisho na mfano wake kwa ajili ya dharurah. Lakini asichukue picha isipokuwa vile vitu yenye dharurah. Allaah amesema:
وَمَا لَكُمْ أَلَّا تَأْكُلُوا مِمَّا ذُكِرَ اسْمُ اللَّـهِ عَلَيْهِ وَقَدْ فَصَّلَ لَكُم مَّا حَرَّمَ عَلَيْكُمْ إِلَّا مَا اضْطُرِرْتُمْ إِلَيْهِ
”Kwani mna nini hata msile katika vile ambavyo vimetajiwa jina la Allaah na ilihali ameshapambanua kwenu yale Aliyokuharamishieni isipokuwa vile mlivyofikwa na dharura.”[1]?
Kama yanavyohitajika na wenye vitambulisho au vyeti vya kielimu… picha au kupiga picha viumbe visivyo na roho kama miti, mabonde, mawe, magari au vinginevyo.
[1] 06:119
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30940/ما-حكم-بيع-الات-التصوير-وتوابعها
- Imechapishwa: 13/09/2025
Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza vyombo vya kupigia picha na filamu zake?
Jibu: Kuuza vyombo vya kupigia picha hapana vibaya, kwa sababu vinaweza kutumika katika dharurah na kupiga picha vitu ambavyo havina roho, kama miti na mfano wake. Vilevile picha zinazohitajika na watu kwa ajili ya vitambulisho na mfano wake kwa ajili ya dharurah. Lakini asichukue picha isipokuwa vile vitu yenye dharurah. Allaah amesema:
وَمَا لَكُمْ أَلَّا تَأْكُلُوا مِمَّا ذُكِرَ اسْمُ اللَّـهِ عَلَيْهِ وَقَدْ فَصَّلَ لَكُم مَّا حَرَّمَ عَلَيْكُمْ إِلَّا مَا اضْطُرِرْتُمْ إِلَيْهِ
”Kwani mna nini hata msile katika vile ambavyo vimetajiwa jina la Allaah na ilihali ameshapambanua kwenu yale Aliyokuharamishieni isipokuwa vile mlivyofikwa na dharura.”[1]?
Kama yanavyohitajika na wenye vitambulisho au vyeti vya kielimu… picha au kupiga picha viumbe visivyo na roho kama miti, mabonde, mawe, magari au vinginevyo.
[1] 06:119
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30940/ما-حكم-بيع-الات-التصوير-وتوابعها
Imechapishwa: 13/09/2025
https://firqatunnajia.com/kuuza-vifaa-vya-kupigia-picha/