Swali: Ni ipi maoni yenu kuhusu kuuza pesa ya fedha kwa pesa kumi na mbili za karatasi, kama ilivyo hali ya soko leo?
Jibu: Hatuna tatizo katika hilo, kwa sababu pesa ya fedha si sawa na pesa ya Saudi. Hii ni karatasi na ile ni fedha. Ni vitu tofauti. Lakini ni lazima biashara iwe mkono kwa mkono.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2146/حكم-بيع-ريال-فضة-باثني-عشر-ريال-ورق
- Imechapishwa: 02/01/2026
Swali: Ni ipi maoni yenu kuhusu kuuza pesa ya fedha kwa pesa kumi na mbili za karatasi, kama ilivyo hali ya soko leo?
Jibu: Hatuna tatizo katika hilo, kwa sababu pesa ya fedha si sawa na pesa ya Saudi. Hii ni karatasi na ile ni fedha. Ni vitu tofauti. Lakini ni lazima biashara iwe mkono kwa mkono.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2146/حكم-بيع-ريال-فضة-باثني-عشر-ريال-ورق
Imechapishwa: 02/01/2026
https://firqatunnajia.com/kuuza-pesa-ya-fedha-kwa-pesa-kumi-na-mbili-za-karatasi/