Swali: Vipi kuuza mavazi ya mapambo?
Jibu: Inategemea; ikiwa unajua kuwa wanawake hao wanayavaa kwa njia inayopingana na Shari´ah, basi usiwauzie. Na ikiwa hajui na mavazi hayo yanaweza kuvaliwa kwa hali zote; yanaweza kuvaliwa chini ya nguo nyingine na si lazima yavaliwe juu ya nguo, pengine yanavaliwa chini ya nguo au mbele ya mume, suala hili linahitaji upambanuzi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23929/ما-حكم-بيع-الملابس-المتبرجة
- Imechapishwa: 01/06/2024
Swali: Vipi kuuza mavazi ya mapambo?
Jibu: Inategemea; ikiwa unajua kuwa wanawake hao wanayavaa kwa njia inayopingana na Shari´ah, basi usiwauzie. Na ikiwa hajui na mavazi hayo yanaweza kuvaliwa kwa hali zote; yanaweza kuvaliwa chini ya nguo nyingine na si lazima yavaliwe juu ya nguo, pengine yanavaliwa chini ya nguo au mbele ya mume, suala hili linahitaji upambanuzi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23929/ما-حكم-بيع-الملابس-المتبرجة
Imechapishwa: 01/06/2024
https://firqatunnajia.com/kuuza-mavazi-ya-mapambo/