Kuuza bidhaa ya zamani kwa mpya na pesa juu yake

Swali: Vipi kuhusu kubadilisha cha zamani kwa kipya katika bidhaa na wanakikadiria kama gari au kitu chochote?

Jibu: Hakuna tatizo; atauza gari kwa gari na ataongeza juu yake, au atauza nyumba kwa nyumba na ataongeza juu yake, au atauza ardhi kwa ardhi na ataongeza juu yake, au atauza juba kwa juba na ataongeza juu yake. Hakuna tatizo, kwa sababu hivi ni aina za bidhaa zisizoingiliwa na ribaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25419/حكم-بيع-بضاعة-قديمة-بجديدة-مع-زيادة-في-الثمن
  • Imechapishwa: 24/03/2025