Kutumia mashine ya kisasa ya nywele badala ya kifaa cha nyembe

Swali: Inatosha kwa mtu kunyoa kichwa chake kwa mashine za kisasa au ni lazima atumie kifaa cha nyembe?

Jibu: Hapana, si lazima atumie kifaa cha nyembe. Mashine ya kisasa inachukua sehemu ya kifaa cha nyembe. Kama imewekwa kwenye milimeta 0, huku kunazingatiwa ni kunyoa. Ikiwa imewekwa kwenye milimita 1 au 2, huku kunazingatiwa ni kupunguza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (22) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-26-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 21/03/2020