Swali: Ni vipi mtu anatubia juu ya kusengenya? Je, ni lazima mtu kumuomba msamaha yule aliyemsengenya?
Jibu: Kutubu ni yeye kuacha kusengenya. Ikiwa anajua kuwa yule msengenywaji atamkubalia msamaha wake amuombe msamaha. Na ikiwa anajua atakasirika na hatomsamehe, inatosheleza kwake kumuombea du´aa na kumsifu. Hili linatosha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Ni vipi mtu anatubia juu ya kusengenya? Je, ni lazima mtu kumuomba msamaha yule aliyemsengenya?
Jibu: Kutubu ni yeye kuacha kusengenya. Ikiwa anajua kuwa yule msengenywaji atamkubalia msamaha wake amuombe msamaha. Na ikiwa anajua atakasirika na hatomsamehe, inatosheleza kwake kumuombea du´aa na kumsifu. Hili linatosha.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/kutubu-kwa-ajili-ya-kusengenya/