Swali: Kuna mtu ametoka Muzdalifah na badala yake akaenda Minaa kabla ya nusu ya usiku na hakurudi. Ni kipi cha wajibu kwake?
Jibu: Ni wajibu kwake kutoa fidia; ni wajibu kwake kuchinja. Haijuzu kwake kutoka Muzdalifah isipokuwa baada ya nusu ya usiku.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
- Imechapishwa: 17/12/2017
Swali: Kuna mtu ametoka Muzdalifah na badala yake akaenda Minaa kabla ya nusu ya usiku na hakurudi. Ni kipi cha wajibu kwake?
Jibu: Ni wajibu kwake kutoa fidia; ni wajibu kwake kuchinja. Haijuzu kwake kutoka Muzdalifah isipokuwa baada ya nusu ya usiku.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
Imechapishwa: 17/12/2017
https://firqatunnajia.com/kutoka-muzdalifah-kabla-ya-nusu-ya-usiku/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket