Swali: Kama kuna fakiri anayehitaji zakaah na mtu akampa zakaah kabla ya kutimia mwaka kisha akaizingatia kuwa ni zakaah ya mwisho wa mwaka. Je, hilo linajuzu?
Jibu: Akiiharakisha hakuna tatizo, kwa nia ya zakaah. Ikiwa mwaka wake wa zakaah unafikia mfano mwezi wa Ramadhaan au Rajab, kisha leo akaona maskini mwenye uhitaji akampa kwa nia ya zakaah, hakuna tatizo. Inajuzu kuitoa kabla ya kutimia mwaka, ni mamoja iwe yote au sehemu yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31691/هل-يجوز-تعجيل-الزكاة-قبل-حلول-الحول
- Imechapishwa: 14/11/2025
Swali: Kama kuna fakiri anayehitaji zakaah na mtu akampa zakaah kabla ya kutimia mwaka kisha akaizingatia kuwa ni zakaah ya mwisho wa mwaka. Je, hilo linajuzu?
Jibu: Akiiharakisha hakuna tatizo, kwa nia ya zakaah. Ikiwa mwaka wake wa zakaah unafikia mfano mwezi wa Ramadhaan au Rajab, kisha leo akaona maskini mwenye uhitaji akampa kwa nia ya zakaah, hakuna tatizo. Inajuzu kuitoa kabla ya kutimia mwaka, ni mamoja iwe yote au sehemu yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31691/هل-يجوز-تعجيل-الزكاة-قبل-حلول-الحول
Imechapishwa: 14/11/2025
https://firqatunnajia.com/kutoa-zakaah-yote-au-sehemu-yake-kabla-ya-wakati-wake/