Muulizaji huyu anasema:

“as-Salaam ´alaykumu wa Rahmatullahi wa Barakaatuh.”

Nasema:

“wa ´alaykumus-Salaam wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh.”

Bora zaidi usitoe salamu kwa sababu Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walikuwa wakimuuliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) bila ya kuanza kutoa salamu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (23)
  • Imechapishwa: 10/01/2019