Kutembelea Kanisa Kwa Ajili Ya Elimu Na Da´wah

Swali: Inajuzu kwa muislamu kuingia kanisani kwa ajili ya masomo?

Jibu: Haina neno. Anaweza kuingia kanisani kwa ajili ya masomo au kulingania katika dini ya Allaah na kuwabainishia haki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017