Swali: Umetueleza katika darsa yako iliyotangulia ya kwamba inajuzu wakati wa du´aa kufanya Tawassul kwa matendo mema. Je, inajuzu kumuombea du´aa mgonjwa katika hali ambapo amelala na hana fahamu na kufanya Tawassul kwa Allaah kwa matendo yake mema Allaah amponye?
Jibu: Hapana. Usifanye Tawassul kwa matendo ya wengine. Fanya Tawassul kwa matendo yako wewe.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13821
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Umetueleza katika darsa yako iliyotangulia ya kwamba inajuzu wakati wa du´aa kufanya Tawassul kwa matendo mema. Je, inajuzu kumuombea du´aa mgonjwa katika hali ambapo amelala na hana fahamu na kufanya Tawassul kwa Allaah kwa matendo yake mema Allaah amponye?
Jibu: Hapana. Usifanye Tawassul kwa matendo ya wengine. Fanya Tawassul kwa matendo yako wewe.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (64) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13821
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/kutawassul-kwa-matendo-mema-ya-watu-wengine/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)